ndio ******** ameamka jameniUseless people ..anakubali wakati mgomo ulishaiasha [emoji23][emoji23][emoji23]watz wana mambo ..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio ******** ameamka jameniUseless people ..anakubali wakati mgomo ulishaiasha [emoji23][emoji23][emoji23]watz wana mambo ..
Nadhani watakuja tu, hivyo madaktari wa Kenya walisema hawatoshi na kazi ni nyingi, Kenya inasemekana inatafuta madaktari kufikisha waliohitimu 10,000ndio ******** ameamka jameni
Samahani mkuu kuna vitu ningependa kufahamu kidogoKijana daktari anayetokea chuo bila ujuzi (medical intern) atakua anapiga mpunga wa kitita cha Kshs 196,244 (Tshs 4,513,612)
Daktari Kenya anayeanza taaluma, yaani entry level ya job group N (mid-level medical officer) mshahara wake umepanda kutoka Ksh 146,190 (Tshs 3,362,370) hadi Kshs 241,524 (Tshs 5,555,052) hii ni pamoja na mafao mengine saba.
Wale specialist mishahara yao imepanda hadi Kshs 442,060 (Tshs 10,167,380) pamoja na mafao lukuki.
Hongera zao, ila ingekua bora maafikiano kama haya yanatekelezwa bila maafa kwa Wakenya, wengi tumeteseka kisa pande zote mbili hakuna aliyekua tayari kushuka. Natumai na kuomba wana taaluma zingine wasiingie kwenye migomo na pawe na jinsi ya kuwarekebishia maana tukiendelea hivi, sitashangaa kuwaona wanajeshi wetu nao wamegoma japo hawaruhusiwi.
![]()
Death, pain: Cost of hospital strikes
Hatimaye akili zimekurudi , naona leo umechangia vyema kwa kutumia kichwa. Keep it up
BTW Wakenya wako mbali sana kuliko sisi, na ni watu wanaojitambua. Hawawekwi makwapani na watawala a.k.a wanasiasa.
Laiti kama watu kama Barbarosa wangejitambua na kuacha kulamba viatu vya watawala tungekuwa mbali sana.