Walichopata madaktari baada ya mgomo

Walichopata madaktari baada ya mgomo

Acha ungo hakuna mafikiano yaliopatikana Kenya serkali imekataa kuzungumza Na madactari had I warudi Kwanzaa kazini
Wewe ndo muongo
Kijana daktari anayetokea chuo bila ujuzi (medical intern) atakua anapiga mpunga wa kitita cha Kshs 196,244 (Tshs 4,513,612)

Daktari Kenya anayeanza taaluma, yaani entry level ya job group N (mid-level medical officer) mshahara wake umepanda kutoka Ksh 146,190 (Tshs 3,362,370) hadi Kshs 241,524 (Tshs 5,555,052) hii ni pamoja na mafao mengine saba.
Wale specialist mishahara yao imepanda hadi Kshs 442,060 (Tshs 10,167,380) pamoja na mafao lukuki.

Hongera zao, ila ingekua bora maafikiano kama haya yanatekelezwa bila maafa kwa Wakenya, wengi tumeteseka kisa pande zote mbili hakuna aliyekua tayari kushuka. Natumai na kuomba wana taaluma zingine wasiingie kwenye migomo na pawe na jinsi ya kuwarekebishia maana tukiendelea hivi, sitashangaa kuwaona wanajeshi wetu nao wamegoma japo hawaruhusiwi.

INFO.jpg

Death, pain: Cost of hospital strikes
 
Sio kwa enzi ya Magufuli, tena yule hawawezi kumjaribu maana alishasema asijaribiwe. Wathubutu kugoma goma huko Tanzania ndio watajua pushups alizokua anafanya wakati wa kampeni zilikua na umuhimu fulani.
Hahaha push up. Kwani yeye Mungu asijaribiwe?
 
Nchi "nyingine" viongozi wa mgomo wangeng'olewa kucha au kupotezwa kabisa
 
Kijana daktari anayetokea chuo bila ujuzi (medical intern) atakua anapiga mpunga wa kitita cha Kshs 196,244 (Tshs 4,513,612)

Daktari Kenya anayeanza taaluma, yaani entry level ya job group N (mid-level medical officer) mshahara wake umepanda kutoka Ksh 146,190 (Tshs 3,362,370) hadi Kshs 241,524 (Tshs 5,555,052) hii ni pamoja na mafao mengine saba.
Wale specialist mishahara yao imepanda hadi Kshs 442,060 (Tshs 10,167,380) pamoja na mafao lukuki.

Hongera zao, ila ingekua bora maafikiano kama haya yanatekelezwa bila maafa kwa Wakenya, wengi tumeteseka kisa pande zote mbili hakuna aliyekua tayari kushuka. Natumai na kuomba wana taaluma zingine wasiingie kwenye migomo na pawe na jinsi ya kuwarekebishia maana tukiendelea hivi, sitashangaa kuwaona wanajeshi wetu nao wamegoma japo hawaruhusiwi.

INFO.jpg

Death, pain: Cost of hospital strikes

Huu mzigo umetulia kiasi nafikiri kazi itafanyika sasa,hongera madaktari kenya .
 
Nina uhakika baada ya hili kuna sekta zingine na zenyewe zitadai nyongeza.

Tupo hapa.
 
Safi sana serikali ya KE huu ni usikivu unaopaswa kuigwa.

Lakini nna shaka huu uamuzi wa ghafla umetoka kwa mlengo wa maslahi fulani ya kisiasa na hasa ukizingatia huu ni mwaka wa uchaguzi.
 
Am pretty sure your english helps everytime you meet with Al Shabab.
1st That is just low...

2ndly Kiyawi is Tanzanian so Umejipa own goal ya kijinga

3rdly Tanzanians make up the Third Largest Foreign fighters in alshabaab; Chekeni chekeni Kenya but Keep in Mind US defence ministry has submited to their Congress on deploying close to 1000 SF in Somalia those same Tanzanian alshabaab agents will return to Tanzania sooner or later

Hapo ndipo utajua kuwa Kutroll wakenya juu ya terror ni Low !!
 
Back
Top Bottom