Walijaribu kuahirisha mechi ya Simba na Nkana ili kupisha mapokezi ya ndege

Walijaribu kuahirisha mechi ya Simba na Nkana ili kupisha mapokezi ya ndege

Ama kwa hakika awamu hii inasikitisha mno ! Kulikuwa kuna juhudi zilizofanyika ili game ya Simba vs Nkana ichezwe jumamosi au jumatatu ili kuwapa nafasi watanzania wengi kuhudhuria mapokezi ya ndege mpya , hata hivyo juhudi zao ziligonga mwamba baada ya jambo hili kuwa nje ya uwezo wa TFF.

Kama walitaka hivyo kwanini wasingeahirisha mapokezi ya ndege , hivi hapa ndio tulipofikia kweli ?
Acha uongo tupe ukweli wa habari kwa kutoa vivid examples.
 
Ama kwa hakika awamu hii inasikitisha mno ! Kulikuwa kuna juhudi zilizofanyika ili game ya Simba vs Nkana ichezwe jumamosi au jumatatu ili kuwapa nafasi watanzania wengi kuhudhuria mapokezi ya ndege mpya , hata hivyo juhudi zao ziligonga mwamba baada ya jambo hili kuwa nje ya uwezo wa TFF.

Kama walitaka hivyo kwanini wasingeahirisha mapokezi ya ndege , hivi hapa ndio tulipofikia kweli ?
Uswahili. Bora imebuma. Wasubiri ile timu yao ikicheza waahirishe.
 
Nani anafuatilia hayo mandege yao yasiyo na maana kwa mwananchi wa kijijini. Wanaacha kuajiri watoto wa maskini wanatumia ela kununua mindege. Magufuri hayo mandege yako hayana tija . Natamani raisi ajaye 2025 auze mandege hayo yote tununue dawa
 
Hizi ndege nimenunua, utashangaa akija mwingine anauza kwa laki mbili
By Rais Wa JMT JPM
 
Kauli nzuri tumenunua, maana ni zetu sote na yeye atapita ndege zitaendelea kuwepo. Akisema amenunua maana akimaliza ataondoka nazo.
 
Kauli za kichaa huwa hazifai kujadiliwa, unapaswa kuzisikia, kuziweka kwenye kumbukumbu na kusubiri kuzifanyia rejea tu wakati ukifika. Kuzijadili ni kupoteza muda na nguvu. Hazina hadhi ya kujadilika. Kwa sababu nyingi zimejaa matusi, dhihaka, uongo, kejeli na kujichanganya.
 
Mawazo ya kitoto sana. Yaan abaki sababu ya ndege.
Kufanyike marekebisho ya kisheria ili tuweze kusimamia shirika lisije anguka kama mwanzo
Hizi ndege nimenunua, utashangaa akija mwingine anauza kwa laki mbili
By Rais Wa JMT JPM
 
Ni kung'ang'ana mpaka kieleweke na akiondoka na kila mradi aliouanzisha utaenda ndivyo inavyotengenezwa abaki ba hakuna jinsi wacha tuone
 
Aendeleee tu kuwepo bila ukomo.akiondoka tutabaki wakiwa.
 
Back
Top Bottom