Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,988
- 8,021
Kamwulize Hassan Kessy kama hajakutoa baruti.Haya tupe matokeo sasa
Acha uongo tupe ukweli wa habari kwa kutoa vivid examples.Ama kwa hakika awamu hii inasikitisha mno ! Kulikuwa kuna juhudi zilizofanyika ili game ya Simba vs Nkana ichezwe jumamosi au jumatatu ili kuwapa nafasi watanzania wengi kuhudhuria mapokezi ya ndege mpya , hata hivyo juhudi zao ziligonga mwamba baada ya jambo hili kuwa nje ya uwezo wa TFF.
Kama walitaka hivyo kwanini wasingeahirisha mapokezi ya ndege , hivi hapa ndio tulipofikia kweli ?
Uswahili. Bora imebuma. Wasubiri ile timu yao ikicheza waahirishe.Ama kwa hakika awamu hii inasikitisha mno ! Kulikuwa kuna juhudi zilizofanyika ili game ya Simba vs Nkana ichezwe jumamosi au jumatatu ili kuwapa nafasi watanzania wengi kuhudhuria mapokezi ya ndege mpya , hata hivyo juhudi zao ziligonga mwamba baada ya jambo hili kuwa nje ya uwezo wa TFF.
Kama walitaka hivyo kwanini wasingeahirisha mapokezi ya ndege , hivi hapa ndio tulipofikia kweli ?
Yotematokeo ya mechi au matokeo ya mapokezi ya ndege ?
Engineer Soma Wewe Ngapi HiyoInjinia soma ubao Simba 3-1 nkana siyo kila siku unaandika udaku
matokeo ya mechi au matokeo ya mapokezi ya ndege ?
Wewe iko siku watakunyakua na hii post yako.Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kandamizwa.
Mapokezi ya mechimatokeo ya mechi au matokeo ya mapokezi ya ndege ?
Hiyo kupenya nimeipendamnyama kaua na kapenya
Hizi ndege nimenunua, utashangaa akija mwingine anauza kwa laki mbili
By Rais Wa JMT JPM
Hizi ndege nimenunua, utashangaa akija mwingine anauza kwa laki mbili
By Rais Wa JMT JPM