Fantastic Beast
Member
- Feb 18, 2019
- 53
- 539
Kasemaje mama mariaCCM walidhani Lissu ni mwepesi kumbe ndiyo wamejiingiza kwenye maji yenye kina kirefu chenye mamba wakali.
Jana Mama Maria Nyerere ndiyo kabisa amewavua CCM nguo ya ndani bila aibu tena hadharani 🤣🤣🤣
Kasema amelazimishwa kuja kwenye mkutano ili kujaza uwanja 🤣🤣🤣Kasemaje mama maria
Seriously?Kasema amelazimishwa kuja kwenye mkutano ili kujaza uwanja 🤣🤣🤣
Aise nyie watu mna vituko Sana, yaani hao watu wa Mbeya ndio mnaona watafanya Magufuli ashindwe. Hao watu aliopata Mwanza subiri uone Majibu yenu leo, hao watu aliopata Mbeya Magufuli anapata zaidi. DSM wameshamkata, Dodoma juzi alihutubia miti, mtaugua pressure bure!
Upepo umegeuka mitandaoni au kwenye kampeni live.Walikuwa hawaamini until Lissu kaenda Dodoma ndio vichwa vimewakaa sawa. Kila kona anakopita nyomi kama lote, tena lile la hiari hamna anayebebwa wala kulazimishwa kwenda kwenye mikutano.
Nimesikia kwenye baadhi ya maeneo mnawalazimisha watumishi kwenda kwenye mikutano yenu. Naomba niwaambie tu hiyo ni kama kujitekenya na kuchema mwenyewe.
Huwezi kukwepa ngumi ya uso kwa kufumba macho. Fungueni macho muone uhalisia wa mambo. Upepo umebadilika na hakuna njia yoyote inayoweza kubadili uelekeo wa upepo.
Mama Maria Jana umemsikia lakiniAise nyie watu mna vituko Sana, yaani hao watu wa Mbeya ndio mnaona watafanya Magufuli ashindwe. Hao watu aliopata Mwanza subiri uone Majibu yenu leo, hao watu aliopata Mbeya Magufuli anapata zaidi. DSM wameshamkata, Dodoma juzi alihutubia miti, mtaugua pressure bure!
Walikuwa hawaamini until Lissu kaenda Dodoma ndio vichwa vimewakaa sawa. Kila kona anakopita nyomi kama lote, tena lile la hiari hamna anayebebwa wala kulazimishwa kwenda kwenye mikutano.