Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 4,006
- 9,542
Kuna watu kwanza walisemaga hawataki kuongozwa na MWANAMKE
Baadae wakalambishwa asali wakaanza kutisha wengine kuwa ole wao wamsemao kiongozi huyo mwanamke tunawakata mapanga
Baadae wakashabikia waliopotezwa 29 kuwa sio wa kwao!
Sasa Mungu hapendi dhihaka
View: https://vt.tiktok.com/ZSXU7e4VW/
Takbir !!!!Kuna watu kwanza walisemaga hawataki kuongozwa na MWANAMKE
Baadae wakalambishwa asali wakaanza kutisha wengine kuwa ole wao wamsemao kiongozi huyo mwanamke tunawakata mapanga
Baadae wakashabikia waliopotezwa 29 kuwa sio wa kwao!
Sasa Mungu hapendi dhihaka
Mnataftiza tu. Nini hapo kinachofanana na Oct 29Kuna watu kwanza walisemaga hawataki kuongozwa na MWANAMKE
Baadae wakalambishwa asali wakaanza kutisha wengine kuwa ole wao wamsemao kiongozi huyo mwanamke tunawakata mapanga
Baadae wakashabikia waliopotezwa 29 kuwa sio wa kwao!
Sasa Mungu hapendi dhihaka
Wote wanafiki tu mapovu ya kujitoa ufahamu, yaani mtu kuondolewa kwenye madaraka basi ndio maneno mengi, waliomuondoa ndio waliopa hiyo dhamana.Kuna watu kwanza walisemaga hawataki kuongozwa na MWANAMKE
Baadae wakalambishwa asali wakaanza kutisha wengine kuwa ole wao wamsemao kiongozi huyo mwanamke tunawakata mapanga
Baadae wakashabikia waliopotezwa 29 kuwa sio wa kwao!
Sasa Mungu hapendi dhihaka
Sijawahi kuwaelewa Masheikh Ubwabwa. Mimi ni Muislamu ila kwa hili SIPO naoKuna watu kwanza walisemaga hawataki kuongozwa na MWANAMKE
Baadae wakalambishwa asali wakaanza kutisha wengine kuwa ole wao wamsemao kiongozi huyo mwanamke tunawakata mapanga
Baadae wakashabikia waliopotezwa 29 kuwa sio wa kwao!
Sasa Mungu hapendi dhihaka
Tafakari, kama ninavyotafakuri mimi.Sijaelewa inahusiana vipi na 29