walikuwa wanagawana wafu makaburini.

walikuwa wanagawana wafu makaburini.

kilimasera

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Posts
3,068
Reaction score
277
Kwa makanisa ya wakatoliki yenye maeneo makubwa maranyingi mapadre
huzikwa kwenye maeneo hayo. Kisa hiki kilitokea kwenye makaburi
walikozikwa watumishi wa mungu. Vijana walienda kuiba machungwa huku
wakijua mlinzi wa kanisa ambae ni mmoja wa wazee wanoko kanisani
akikukamata umekwisha. Wakati wameshapata machungwa ya
kutosha wakasikia nyayo za mtu wakajua ni mlinzi. Vijana wakaanza
kugawana machungwa huku wakisema huyu wako huyu wangu. WAKO NA HUYU
WANGU mlinzi kusikia hivyo akatimua mbio kwenda kumuita padre.
WALIPOFIKA jamaa kama kawa wangu huyu wako mpaka yakabaki machungwa
mawili mmoja wa vijana akasema hawa wawili waliobaki wanani? Padre na
mlinzi wakatawanyika kwa speed ya ajabu wakiamini mungu na shetani
walikuwa wanagawana wafu makaburini.
 
ha haahhaa lol...:shock:🙂

avatar32652_2.gif
 
Ha ha! ha!ha kwanini watu huwa wanapenda kwenda peponi cha ajabu wanaogopa kifo?
 
Back
Top Bottom