WALIKUWA WANAKUITA NICK NAME GANI KIPINDI UPO SHULE?

WALIKUWA WANAKUITA NICK NAME GANI KIPINDI UPO SHULE?

Chupayamaji

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2017
Posts
5,784
Reaction score
13,642
Nakumbuka mi nlikuwa naitwa mwarabu koko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20190509-061147.jpeg
 
Mr. Corruption, kiranja wa Debate , Shule moja ya Seminari Maarufu. Ukiongea kiswahili nikakumata ni either ulete pesa kigogo au nikukatie ardhi ya kupalilia Orchard kilomita za mraba za kutosha.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dinho
Nikipiga bolu sana kama Ronaldinho
 
mi walikuwa wananiita shika shika shule ya msingi nilikuwa navishika sana visichana mapaja darasani kipindi kile
 
Back
Top Bottom