TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
Hayatuhusu si maisha yao, sasa wanataka watupelekeshe sisi? Si walichagua wao wenyewe kuwa walimu?Sasa walimu unakaa nao mtaani kwako,unakuja kutuambia sisi huku...
Hivi unadhani walimu watatajirika na hicho kibuku chako unachotoa?
Mkuu walimu wanamaisha magumu sana hyo buku haiwafikishi popote...
Vitu vingine vinashangaza, nilitegemea awape hata pongeziSijakuelewa mkuu
Hivi ni hupendi mwanao afanye mtihani kila baada ya siku 3 au huna iyo shs 1200 ya kulipa kila baada ya siku 3?
Watumie pesa wanazopewa na Serikali na sio kutoza wanafunziTatizo ni kwamba mfumo wa elimu yetu ni "examination oriented" ili mtoto afauli inabidi azoe mitahani mbali mbali mpaka akalili majibu.
Wao wanaangalia pesa,na wasipoejda na pesa mboko,haya huko advance utakuta ni boarding kila wiki unatoa oesa kwa pocket mojey ipi🚮🚮Mi nakumbuka kipindi nilikuwa high School waalimu walikuwa wanatufanyisha mitihani kighafla ghafla tu.
Usitudanganye we paka aliyekwambia mitihani inaleta sharpness nani? Kwa asilimia zote,,tamaa na shida za hovyo zinawasumhua,kuna muongozo wa elimu unaeleza ni kiasi gani cha mitihani mwanafunzi anatakiwa apewe na kila baada ya muda flani,usitujaze upepoWazazi wenye akili mgando, mwanao anafanya mitihani anapata sharpness na kuzoea mitihani mzazi analalamika,
Nimesahau kitu, PUMBAVU!!
Mimi hawawezi kupataAcha wapate hizo hela zenu.
Wewe unajua serikali inatoa shklling ngapi ya capitation fee kwa kila shule kwa mwezi, hata haiwezi kununua ream za mitihani wa mhula.Watumie pesa wanazopewa na Serikali na sio kutoza wanafunzi
Mimi kwanza wanangu hawajawahi kusoma huko ,na hiyo 1300 si kitu kwangu,nazungumzia lengo la wao kutoa mitihani si watoto wafanye mitihani bali mchongo wakupata pesa,imagine hata kufanya masahihisho ya mtihani wanataka pesa tenaSijakuelewa mkuu
Hivi ni hupendi mwanao afanye mtihani kila baada ya siku 3 au huna iyo shs 1200 ya kulipa kila baada ya siku 3?
😅😅😅Butimba sekondari ya mwanza michango ni kama ifuatavyo.
1. Gharama za photocopy- 5000@month
2. Gharama za chakula-30000@month
3. Gharama za tuisheni-1000@month
4. Gharama za walimu wa kujitolea- 2000@month
5. Tisheti - 12000
6. Rim papers-16000 as per now.
Jumla kuu: kwa mwezi ni 38,000/ ukitoa tisheti na rim zinazojumuishwa kwenye grand total ya mwaka mzima.
Hapo mzazi hajagharamikia nauli ya mwanae.
Kweli walimu wameamua kunyoosha makucha.
Utawapa tu,Mimi hawawezi kupata