1300 kwa wiki kwa mtoto kufanya mitihani ndo unalalama? Sasa unaishi maisha Gani? Kua makini kwa umaskini huo utakuja kupakatwa pumbavu[/QUO
Sh 1200× siku 3 kwa week ni sh 3600
@ student atatoa,
Sh 3600×4 weeks ni sh 14,400 @ student atalipa kwa mwezi kwa ajili ya mtihani..
Sh 14,400/ ×200 students = Ni sh 2,880,000/
za mtihani kwa wanafunzi 200 tu.
Hapo bado sh 20000 @ student analipa za Kula shule mchana kila mwezi..
@ student sh 20000× 200 students=
sh 4,000,000 kwa mwezi..,
Hii ni kwa ajili ya Kula lunch mbovu ya ubwabwa na maharage yasio mafuta..
Jumla kila mwanafunzi atatoa sh 34,400/ kwa mwezi.
(Lunch pamoja na mtihani.)
Kwa mwezi jumla sh 2880000 za mtihani wanafunzi wote 200,
+ Sh 4,000,000 pesa za chakula kwa mwezi wanafunzi wote 200 ,
Ni .=6,880,000 wanafunzi wote kwa mwezi.
Kwa miezi 10 ni Sawa na sh millioni 68,800,000 ,,za michango ya wazazi..
Kwako sh 1200/ utaona ndogo sababu bado unaishi kwa shemeji
Sent from my 2201117SG using
JamiiForums mobile app