TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
- Thread starter
- #41
Hayo nayo ni mahitaji? Au ni ulaghai? Walimu mnakuwa viumbe wa hovyo sanaNawe hukuambiwa uzae mtoto ushindwe mtimizia mahitaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo nayo ni mahitaji? Au ni ulaghai? Walimu mnakuwa viumbe wa hovyo sanaNawe hukuambiwa uzae mtoto ushindwe mtimizia mahitaji
Kumbe harusi ipo kwa jirani wewe unahangaika na masufuria kwako!!! Inahusu nini?Hakuna mwanangu kasoma huko
penda kufuatilia na sio kuish na nadharia wayback nlikuwa mwl , nlichogundua walimu wanabeba lawama za serikai ila kituko kila uchaguz wapo kweny gwanda za kijan hapo ndo nawashangaa kbsWatumie pesa wanazopewa na Serikali na sio kutoza wanafunzi
ushawai kuwa mwl ? waswahili kuwa daktar au any personel haiondoi ukwel kwamba lzm uheshimu faculty nyngne , penda kujifunza na sio kufunza muda woteUsitudanganye we paka aliyekwambia mitihani inaleta sharpness nani? Kwa asilimia zote,,tamaa na shida za hovyo zinawasumhua,kuna muongozo wa elimu unaeleza ni kiasi gani cha mitihani mwanafunzi anatakiwa apewe na kila baada ya muda flani,usitujaze upepo
Kumbe elimu sio hitajiHayo nayo ni mahitaji? Au ni ulaghai? Walimu mnakuwa viumbe wa hovyo sana
Sijakuelewa mkuu
Hivi ni hupendi mwanao afanye mtihani kila baada ya siku 3 au huna iyo shs 1200 ya kulipa kila baada ya siku 3?
Tumia akili ndugu yangu,kila baada ya siku tatu mtoto anasoma masomo kumi akifanya mtihani kila baada ya siku tatu atasoma lini masomo kumi ambayo walimu wanakua wamefundisha ukitetea uwe na hoja ya msingi ila kuna jambo haliko sawa hapa,wakati mwingine mwalimu wanachukua past pepa ambazo watoto walishaifanya wakafeli anawatolea tena.kwa ufupi mfumo wetu wa elimu haupo sawa ungefumuliwa wote ukasukwa upyaaa.mtoto anasoma masomo kumi na moja alafu anakuja kuchukua masomo matatu tu mwisho wa siku anabaki na kemia,bios na physic,Sijakuelewa mkuu
Hivi ni hupendi mwanao afanye mtihani kila baada ya siku 3 au huna iyo shs 1200 ya kulipa kila baada ya siku 3?
hizo ni gharama nzur tu kama unalalamika bas uchumi wako sio mzur hahaaaButimba sekondari ya mwanza michango ni kama ifuatavyo.
1. Gharama za photocopy- 5000@month
2. Gharama za chakula-30000@month
3. Gharama za tuisheni-1000@month
4. Gharama za walimu wa kujitolea- 2000@month
5. Tisheti - 12000
6. Rim papers-16000 as per now.
Jumla kuu: kwa mwezi ni 38,000/ ukitoa tisheti na rim zinazojumuishwa kwenye grand total ya mwaka mzima.
Hapo mzazi hajagharamikia nauli ya mwanae.
Kweli walimu wameamua kunyoosha makucha.
Mwisho kabisa. Wanafunzi wa form one hawasomi na mkuu wa shule amedai watafundishwa masomo mawili tu mwaka huu,
Hesabu Na kiingereza.
Rais Samia toa ajira usaidie watoto wa watanzania.
wewe ni mkorofi , unaonekana mentality yako , hiyo mentality yako itamcost mwanao wala sio mwl , jaribu uwe mwalimu wa watoto wa wako uone ilivyo ngumu , nmewai kuwa mwl naelewaMimi kwanza wanangu hawajawahi kusoma huko ,na hiyo 1300 si kitu kwangu,nazungumzia lengo la wao kutoa mitihani si watoto wafanye mitihani bali mchongo wakupata pesa,imagine hata kufanya masahihisho ya mtihani wanataka pesa tena
SI KWELImtoto anasoma masomo kumi na moja alafu anakuja kuchukua masomo matatu tu mwisho wa siku anabaki na kemia,bios na physic, Sasa kwanini asingepewa haya masomo tangu awali? ujinga huu ndio unaosababisha mambo yaonekane magumu sana kwa watoto wetu.liangaliwe hili kwa jicho la tofauti.
Huo ugumu si waliufuata wenyewe ama😅Walimu..walimu..walimu...walimu.... blabla..walimu... Teacherrrrrrrrrrrrrz🤮🥵🥵 hebu tuwape heshima yao hawa viumbe, ujue wanapitia wakati mgumu sana. Tuhamishie mada sasa kwa madereva fuso & semi
wakifanya zero kibao ndo matokeoAcheni uhuni waheed ninyi,fuateni utaratibu wa kazi yenu mliyoipenda
Inaonekana kipato chako ni zaidi ya us dolla 5 kwa siku,ila tambua tu kwamba wapo watanzania wanaoishi chini ya us dolla 2 kwa siku,sasa je huyu mtz anawezaje kusave elfu 40 kwa mwezi?ambapo ni zaid ya us dolla 15,usirahisishe mpendwa.hizo ni gharama nzur tu kama unalalamika bas uchumi wako sio mzur hahaaa
kama ni hitaji basi si walimu wale hiyo elimu yao kama ilivyoKumbe elimu sio hitaji
mpwayungu village njoo huku kuna ujumbe unakuhusu, achana na kutamani kuwa mwanamkeSiku hizi shule nyingi za serikali msingi na sekondari hasa za kutwa walimu wanawafanyisha wanafunzi mitihani kila baada ya siku 3 na wanalipa 1200 au zaidi.
Hivi kila baada ya siku tatu kipi kipya wanakuwa wamefundisha watoto mpaka wawafanyishe mitihani?
Hivi kufanya mitihani kila mara ni kipimo cha uelewa?
Ni kweli maslahi yenu ni madogo lakini msichukulie sababu yakufanya uhuni,hata kama maslahi madogo hakuna mtu aliwachagulia hiyo kazi.
Amekuambia kila baada ya siku 3 wewe unsleta mambo ya wiki, nyie ndio walimu wenyewe ndani ya siku3 mwalimu anakuwa kamaliza hata nusu ya topic?Hawa watoto wanafundishwa haswa na wanaofanya mitihani Kila wiki,
We hauko serious. Topic moja unaimaliza baada ya muda gani. Hao wanachotafuta ni pesa siyo kumwelimisha mtotoSijakuelewa mkuu
Hivi ni hupendi mwanao afanye mtihani kila baada ya siku 3 au huna iyo shs 1200 ya kulipa kila baada ya siku 3?