Walimu acheni tamaa za ovyo

 
Tatizo ni kwamba mfumo wa elimu yetu ni "examination oriented" ili mtoto afauli inabidi azoe mitahani mbali mbali mpaka akalili majibu.
Huu ndio ukweli wenyewe aisee
 
Unazungumzia mambo ya kufikirika wakati hoja yangu ipo wazi,usikaze fuvu we matter core
 
Mnatupanga kishamba kwamba hatukwenda shule ati
 
Kupitia huu uzi nimegundua watu wengi humu ni walimu
 
Kila baada ya siku 3,mtihani gani,msitufanye sisi wajinga
 
Dah [emoji23]

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Yani mwanaume kakaa kashika simu,Katia vocha ,kajiunga analalamikia sh 1300/ Kwa wiki ya mtoto wake apate Elimu!?? Aiseeeeee!!!
Wahenga walisema " ukiona elimu ni ghali ,jaribu ujinga!!!"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…