Walimu acheni tamaa za ovyo

Mzazi wa hivi hata akiombwa na mwanaye amlipie Masomo ya ziada wakati wa likizo (Tuition) hawezi kulipia.
Mimi wanangu masomo ya ziada hawajawahi kusoma,nini maana ya likizo?,likizo akirudi ni kazi za hapa na pale,kula kucheza kulala,kama anasoma ni vitabu vingine au magazeti nk
 
wao wanaangalia pesa,na wasipoejda na pesa mboko,haya huko advance utakuta ni boarding kila wiki unatoa oesa kwa pocket mojey ipi[emoji706][emoji706]
kwa huu muandiko una determine wew ni mtu wa aina gan
 
Kwahiyo kila baada ya siku tatu wanafanya mitihani 10!! Hivi umefikiria kabisa ukaona hilo linawezekana au umecomment tu!!!!

Haya mambo hayawezi kutokea bila kupewa ruhusa katika kikao cha wazazi. Hamuhudhurii then mnakuja kutoa malalamiko mitandaoni.
Kama mnaona sio sawa chukueni hatua msiwe watu wa gubu na malalamiko tu. Itisheni kikao mtoe hoja zenu na mtafute suluhisho. Huu ujinga ndio maana hata viongozi ambao tumewapa dhamana bado wanaturudia kutulalamikia badala ya kutenda.
 
Huko Wana nafuu huku ni kilasiku mtihani 1 au 2 asubuhi kabla ya vipindi na jioni mida was ziada na mitihani haitoki darasa analosoma pekee ni marudio ya hata masomo ya zamani Kam ni msingi ni maswali kuanzia la 4 had la Saba na sekondari ni maswali kuanzia form 1 had 4 unashangaa mtoto kufanya mtihani baada ya siku Tatu kweli
 

Lakini mitihani na crash za kutosha zipo,,uliongelea special schools bahati mimi advance nilisoma hizo shule hizo fitness hapana,paper tulikuwa tunapiga kwa sababu ya assessment tu,hata madogo wa K leve ilikuwa hivyo lakini tulikuwa hatulipishwi,,sisi tulilipa pesa kwa makubaliano na walimu kwa mfano mada za physics ni nyingi mno ukilingajisha na muda wa kawaida wa kipindi hivyo tunaongea na ticha atenge muda maalumu kwa ajili yaku cover topics nyingine ili tuendane na muda
 
Umefungua uzi kwa ajili ya shillingi elfu moja na miatatu kweli πŸ˜‚
 
Sisi hatukusoma hiyo shule ya msingi?,na sisi walimu wetu walifanya hivyo ?,,mbona tulikuwa tunafanya vizuri tu,sisi mitihani tuliyokuwa tunalipa ni ile ya interschools tu kwamba shule zaenda kushindana sio hii days
 
Mimi wanangu hawasomi huko,na ishu sio buku bali sababu ya wao kutaka hiyo huku na manufaa yake na pia vigezo
Tuwape tu mkuu waponee humo humo Kikubwa wasiwachape Sana tu

Maisha yenyewe mwalimu anapokea laki tano sijui maskini

Bora hawaibi wacha waponee humo humo mkuu
 
Tuwape tu mkuu waponee humo humo Kikubwa wasiwachape Sana tu

Maisha yenyewe mwalimu anapokea laki tano sijui maskini

Bora hawaibi wacha waponee humo humo mkuu
Wewe umeamua kuwatetea,mimi nawashauri watafute njia nyingine za kuingiza kipato sio hii ishu,huku mimi nafanya shughuri zangu ilifika mida walimu walitaka watoto waende shule mpaka j2 kisa shilingi
 
HeeeeπŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Sisi hatukusoma hiyo shule ya msingi?,na sisi walimu wetu walifanya hivyo ?,,mbona tulikuwa tunafanya vizuri tu,sisi mitihani tuliyokuwa tunalipa ni ile ya interschools tu kwamba shule zaenda kushindana sio hii days
Lengo ni kufananisha zamani na Sasa hivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…