Walimu acheni tamaa za ovyo

Walimu acheni tamaa za ovyo

Mzazi wa hivi hata akiombwa na mwanaye amlipie Masomo ya ziada wakati wa likizo (Tuition) hawezi kulipia.
Mimi wanangu masomo ya ziada hawajawahi kusoma,nini maana ya likizo?,likizo akirudi ni kazi za hapa na pale,kula kucheza kulala,kama anasoma ni vitabu vingine au magazeti nk
 
wao wanaangalia pesa,na wasipoejda na pesa mboko,haya huko advance utakuta ni boarding kila wiki unatoa oesa kwa pocket mojey ipi[emoji706][emoji706]
kwa huu muandiko una determine wew ni mtu wa aina gan
 
Tumia akili ndugu yangu,kila baada ya siku tatu mtoto anasoma masomo kumi akifanya mtihani kila baada ya siku tatu atasoma lini masomo kumi ambayo walimu wanakua wamefundisha ukitetea uwe na hoja ya msingi ila kuna jambo haliko sawa hapa,wakati mwingine mwalimu wanachukua past pepa ambazo watoto walishaifanya wakafeli anawatolea tena.kwa ufupi mfumo wetu wa elimu haupo sawa ungefumuliwa wote ukasukwa upyaaa.mtoto anasoma masomo kumi na moja alafu anakuja kuchukua masomo matatu tu mwisho wa siku anabaki na kemia,bios na physic,

Sasa kwanini asingepewa haya masomo tangu awali?ujinga huu ndio unaosababisha mambo yaonekane magumu sana kwa watoto wetu.liangaliwe hili kwa jicho la tofauti.
Kwahiyo kila baada ya siku tatu wanafanya mitihani 10!! Hivi umefikiria kabisa ukaona hilo linawezekana au umecomment tu!!!!

Haya mambo hayawezi kutokea bila kupewa ruhusa katika kikao cha wazazi. Hamuhudhurii then mnakuja kutoa malalamiko mitandaoni.
Kama mnaona sio sawa chukueni hatua msiwe watu wa gubu na malalamiko tu. Itisheni kikao mtoe hoja zenu na mtafute suluhisho. Huu ujinga ndio maana hata viongozi ambao tumewapa dhamana bado wanaturudia kutulalamikia badala ya kutenda.
 
Acha kuleta hoja nyepesi,mitihani gani kila baada ya siku 3?,mitihani gani masahihisho yanalipiwa?,haya basi wafaulu au wawe logical but bado ndio hao wanaongoza kwa kufeli

Tatzo sio hiyo pesa tatizo ni sababu yakutoa hiyo pesa,always self justification ni complicated sana kama hujawa dominant
Huko Wana nafuu huku ni kilasiku mtihani 1 au 2 asubuhi kabla ya vipindi na jioni mida was ziada na mitihani haitoki darasa analosoma pekee ni marudio ya hata masomo ya zamani Kam ni msingi ni maswali kuanzia la 4 had la Saba na sekondari ni maswali kuanzia form 1 had 4 unashangaa mtoto kufanya mtihani baada ya siku Tatu kweli
 
Dah!

Hakika jamii haiwapendi Walimu.

Kwanza hakuna elimu bila malipo,bali kuna ELIMU BURE. Hizo fedha za serikali kila Mwanafunzi analipiwa kiasi kisichofika 500@,lkn hapo hapo UMISETA wanataka 1200@.

Kuhusu kidato cha kwanza hapo ndipo umedhihirisha chuki zako kwa Walimu.
Serikali inalazimisha hao watoto wasisome chochote ikiwa hawajajua kiingereza ilihali huko waliko toka ufaulu ni 100% lkn kiuhalisia wengine hata majina yao tu kuandika hawawezi.

Mimi nadhani waulize TAMISEMI siju WIZARA YA ELIMU wakuambie ikiwa hapo wanasoma pre form one, English course au form one?

Alafu,jengeni utaratibu wa kuwa mnaenda shuleni ili mpate taarifa sahihi kwani niliko mimi ratiba za mitihani hiyo mnayodai hutolewa na halmashauri.

Na kiukweli ni utitili wa mitihani kiasi kwamba muda wa kufundisha na kusoma ni mchache ukilinganisha na muda wa ufanyishaji mitihani na usahihishaji. Km shuleni asomako mtoto wako kuna Mwl anatenga muda wake wa ziada kumfundisha mwanao japo kwa kiasi kidogo cha fedha,muongeze kwani amechagua kuacha

Mkuu mambo yanabadirika, mwenyewe nilisoma Kayumba pia lakini shule ile ile ambayo sisi tulifauru kwasasa ndiyo inaongoza kwa kuzalisha Zero za kutosha.

Pasipokuwa na jitihada za ziada kutoka kwa Walimu na kuungwa mkono na Wazazi basi ni disaster.

Elimu ni ghali Mkuu, sisi tuliosoma High School shule za Serikali tena PCM bila kusoma Tuition pamoja na kulipia kufanya mitihani ya kujipima kila week tusingefauru kwenda Vyuo vikuu.

Imagine unanunua vitabu vya yule Muhindi kila Somo sio chini ya shilingi 50,000 kitabu kimoja miaka ile lakini bado Wazee wetu walinunua ili tusome.

Angekuwa ndiyo mtoa mada anaambiwa anunue kitabu shilingi 50,000 si angemwandikia na Mama Samia barua kumlalamikia kabisa
Lakini mitihani na crash za kutosha zipo,,uliongelea special schools bahati mimi advance nilisoma hizo shule hizo fitness hapana,paper tulikuwa tunapiga kwa sababu ya assessment tu,hata madogo wa K leve ilikuwa hivyo lakini tulikuwa hatulipishwi,,sisi tulilipa pesa kwa makubaliano na walimu kwa mfano mada za physics ni nyingi mno ukilingajisha na muda wa kawaida wa kipindi hivyo tunaongea na ticha atenge muda maalumu kwa ajili yaku cover topics nyingine ili tuendane na muda
 
Huko Wana nafuu huku ni kilasiku na mitihani haitoki darasa analosoma pekee ni marudio ya hata masomo ya zamani Kam ni msingi ni maswali kuanzia la 4 had la Saba na sekondari ni maswali kuanzia form 1 had 4 unashangaa mtoto kufanya mtihani baada ya siku Tatu kweli
Sisi hatukusoma hiyo shule ya msingi?,na sisi walimu wetu walifanya hivyo ?,,mbona tulikuwa tunafanya vizuri tu,sisi mitihani tuliyokuwa tunalipa ni ile ya interschools tu kwamba shule zaenda kushindana sio hii days
 
Mimi wanangu hawasomi huko,na ishu sio buku bali sababu ya wao kutaka hiyo huku na manufaa yake na pia vigezo
Tuwape tu mkuu waponee humo humo Kikubwa wasiwachape Sana tu

Maisha yenyewe mwalimu anapokea laki tano sijui maskini

Bora hawaibi wacha waponee humo humo mkuu
 
Tuwape tu mkuu waponee humo humo Kikubwa wasiwachape Sana tu

Maisha yenyewe mwalimu anapokea laki tano sijui maskini

Bora hawaibi wacha waponee humo humo mkuu
Wewe umeamua kuwatetea,mimi nawashauri watafute njia nyingine za kuingiza kipato sio hii ishu,huku mimi nafanya shughuri zangu ilifika mida walimu walitaka watoto waende shule mpaka j2 kisa shilingi
 
Huko Wana nafuu huku ni kilasiku mtihani 1 au 2 asubuhi kabla ya vipindi na jioni mida was ziada na mitihani haitoki darasa analosoma pekee ni marudio ya hata masomo ya zamani Kam ni msingi ni maswali kuanzia la 4 had la Saba na sekondari ni maswali kuanzia form 1 had 4 unashangaa mtoto kufanya mtihani baada ya siku Tatu kweli
Heeee🙄🙄🙄🙌🙌
 
Sisi hatukusoma hiyo shule ya msingi?,na sisi walimu wetu walifanya hivyo ?,,mbona tulikuwa tunafanya vizuri tu,sisi mitihani tuliyokuwa tunalipa ni ile ya interschools tu kwamba shule zaenda kushindana sio hii days
Lengo ni kufananisha zamani na Sasa hivi?
 
Back
Top Bottom