Walimu acheni tamaa za ovyo

ACHA KUKIMBIA MAJUKUMU AISEE IVI HUYO MTOTO USIPOMSAIDIA WEWE BABA YAKE UNATAKA ASAIDIWE NA NANI ????

KAMA ULIKUWA UNAJIJUA HUNA UWEZO WA KUTIMIZA MAJUKUMU YA MTOTO KWANINI ULIKIMBILIA KUZAA

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Mimi wanangu masomo ya ziada hawajawahi kusoma,nini maana ya likizo?,likizo akirudi ni kazi za hapa na pale,kula kucheza kulala,kama anasoma ni vitabu vingine au magazeti nk
Tuliosoma shule za Serikali ilitulazimu kutumia muda wa likizo kusoma Tuition.

Unakuta mna topic 12 kwenye somo la Physics lakini hadi mnafunga shule mwezi December unakuta mmefundishwa Topic 5 tu, kwahiyo Tuition haiepukiki
 
Kweli hili limekuwa shida hasa Dar es Salaam.
 
Upo sahihi Mkuu
 
Sasa mkuu hutaki watoto wapate mazoezi, ata wanamichezo lazima wapate mechi za majaribio ili kukuza kipaji na kujifunza makosa tena nawashauri wakuu wa shule wawapeleke shule jirani kushindani kimasomo ili kuwajengea umakini na kujihami watoto na kujenga urafiki.
 
Mimi kwanza wanangu hawajawahi kusoma huko ,na hiyo 1300 si kitu kwangu,nazungumzia lengo la wao kutoa mitihani si watoto wafanye mitihani bali mchongo wakupata pesa,imagine hata kufanya masahihisho ya mtihani wanataka pesa tena
Kama watoto wako hawasomi huko wewe kinakuwasha nini haswaaaa?
 
Mimi kwanza wanangu hawajawahi kusoma huko ,na hiyo 1300 si kitu kwangu,nazungumzia lengo la wao kutoa mitihani si watoto wafanye mitihani bali mchongo wakupata pesa,imagine hata kufanya masahihisho ya mtihani wanataka pesa tena
Asa mbona unalalama kwa mambo yasiyo kuhusu mkuu

Tuache sie tunao somesha watoto huko ndo tulalamike

Ata ivo hatujaona tatizo lolote ndo maana tupo kimya
 
Afadhali hao kila baada ya siku tatu hapa shule ya Mzinga ni kila siku wanafanya mtihani kwa gharama ya shilingi 200 mpaka 500
 
Sasa walimu unakaa nao mtaani kwako,unakuja kutuambia sisi huku...

Hivi unadhani walimu watatajirika na hicho kibuku chako unachotoa?

Mkuu walimu wanamaisha magumu sana hyo buku haiwafikishi popote...
Huku kun hadi watunga na wasimamia sera ya elimu inaweza ikawa ni jukwaa bora zaidi la kufikisha ujumbe na ukafanyiwa kazi.
 
Hayatuhusu si maisha yao, sasa wanataka watupelekeshe sisi? Si walichagua wao wenyewe kuwa walimu?
Na wewe si ulichagua mwenyewe kumpeleka mwanao st kayumba sababu ya umasikini wako, peleka mwanao feza schools uone kama utachangishwa hiyo michango.
 
Hawana per diem wala Extra duty waacheni na wao wajipatie chochote kitu.
 
Kwaiyo unataka wasimalizie kujenga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…