Walimu acheni tamaa za ovyo

Wewe unajua serikali inatoa shklling ngapi ya capitation fee kwa kila shule kwa mwezi, hata haiwezi kununua ream za mitihani wa mhula.
Kama ni kweli nadhani ni kwasababu wanajua walimu mnadhiki hivyo kudai haki za msingi kwenu ni dhambi
 
Sasa kama mzazi mwenyeww ndio wewe na hupendi mwanao afanye mitihani hivi unadhani mwanao ndio atapenda mitihani? Kweli kilaza huzaa kilaza
Acha kukalili matter core wewe,kwamba kupenda mitihani ndio kua na akili? Au ndio umbumbumbu pro max
 
Kwa kweli, huwezi kulalamika kwa jambo muhimu kama hili unless Mzazi pia awe hapendi shule.

Najitolea kwa mtoa mada akishindwa kumlipia kijana wake hiyo 4,800 kwa mwezi ili afanye hiyo mitihani basi nipo tayari kumlipia miezi yote 8 iliyobaki.
Kwa bahati mbaya sina mtoto anayesoma huko,hata hivyo nazidisha hiyo kiasi ya miezi 8 mara 8,weka namba nakutumia ukale kitimoto na Johnson
 
Afadhali hao kila baada ya siku tatu hapa shule ya Mzinga ni kila siku wanafanya mtihani kwa gharama ya shilingi 200 mpaka 500
Sasa wanasoma vipindi vya kawaida saa ngapi?,,khaaa,,walimu wamekuwa watu wa michongo sana nowdays
 
Asa mbona unalalama kwa mambo yasiyo kuhusu mkuu

Tuache sie tunao somesha watoto huko ndo tulalamike

Ata ivo hatujaona tatizo lolote ndo maana tupo kimya
Ni suala la kijamii sio la mama Mwajuma na Bada Dullah tu hivyo tutasema
 
Tatizo waalimu wengi hawana ubunifu na wenye ubunifu wanapigwa majungu hivyo wanaamua kuendana na mfumo unavyowapelekesha
Tatizo dhiki wameziendekeza halafu na wivu wakijinga,sasa imagine mfano yule akamtia kisu mwenzale kisa nafasi ya uongozi,kuna nafasi gani ya uongozi huko ambayo inapaswa kugombaniwa?
 
Tuliosoma shule za Serikali ilitulazimu kutumia muda wa likizo kusoma Tuition.

Unakuta mna topic 12 kwenye somo la Physics lakini hadi mnafunga shule mwezi December unakuta mmefundishwa Topic 5 tu, kwahiyo Tuition haiepukiki
Advance haikwepeki,najadili sana hapa O'level na primary
 
ACHA KUKIMBIA MAJUKUMU AISEE IVI HUYO MTOTO USIPOMSAIDIA WEWE BABA YAKE UNATAKA ASAIDIWE NA NANI ????

KAMA ULIKUWA UNAJIJUA HUNA UWEZO WA KUTIMIZA MAJUKUMU YA MTOTO KWANINI ULIKIMBILIA KUZAA

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Kwani analishwq nq nqni,anavishwa na nani,? Huu wizi nao unakuwa kwenye sifa yakuwa majukumu,au ni kutake advantages?
 
Well
 
Kwani analishwq nq nqni,anavishwa na nani,? Huu wizi nao unakuwa kwenye sifa yakuwa majukumu,au ni kutake advantages?
Kijana acha wivu tafuta hela! Au hujaiona report ya cag kuna mabilion yanatafunwa huko ww umekazana kuandika thread za buku mia mbil za walimu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha kukalili matter core wewe,kwamba kupenda mitihani ndio kua na akili? Au ndio umbumbumbu pro max
Halafu ukiitwa mpumbavu unakasirika hivi huoni kila mtu humu anakuona
wewe ni kituko inamana bado tu hujishtukii mzee!
 
Kwa bahati mbaya sina mtoto anayesoma huko,hata hivyo nazidisha hiyo kiasi ya miezi 8 mara 8,weka namba nakutumia ukale kitimoto na Johnson
Basi tufanye ukipata mtoto anayeshindwa kumudu kulipia gharama za hiyo Mitihani nijulishe ili tumlipie. Lengo ni kuona huyo mtoto anafauru mitihani yake ya mwisho.
 
Advance haikwepeki,najadili sana hapa O'level na primary
Kwa Primary ni sahihi wao kupumzika wakati wa likizo ila upande wa O'level inawalazimu kutumia muda wao wa likizo kujisomea Tuition ili kuweza kufauru hasa Wanafunzi wanaosoma shule za Serikali.

Manake shule nyingi za Serikali huwa hawamalizi Topics
 
Walimu wana kazi sana...hakuna anaejali nini wanapitia,wakijiongeza kama hivi shida,wakikaa tu bila masomo ya ziada wanaitwa wazembe,sasa wafanyeje?tuwahurumie jaman na pia huko ualimuni kuna WIFE NA HUSBUND MATERIALS kwel kwel!
 
Traffic anakula za dereva, TRA. Anakula za walipa kodi, wabunge wanakula za vikao+rushwa za kamati, Ardhi wanakula za hati, kodi ya ardhi n.k walimu acha wale hizo 5000 Kila wiki, otherwise Baki na mtoto wako asifanye hiyo mitihani kwani lazima?

Nawahakikishieni enyi mnaowadhihaki walimu Kwa vipato vyao vidogo, siku wakiamua na kuanza kuwakamua ili kufundisha watoto wenu mtalia sana!

Assume, mtoto wako Kila mtihani anapata sifuri, utamfundisha nyumbani kwako? Au utatafuta mwalimu wa tuition umlipe 50,000 Kwa mwezi? (Badala ya 6000 anayochukua mwalimu wake shuleni)

Nawashauri walimu anzisheni operation ya kuwatia adabu wazazi aina ya huyu jamaa, ukiingia darasani kuna toto la mtu kama huyu, unapotoa nje likafundishwe na baba yake, (Kwa kumtafutia sababu genuine) hapo hamshindwi [emoji23][emoji23][emoji23]

Baada ya sifuri lukuki za watoto wao, watanyoosha mikono tu na kuheshimu kazi mnayoifanya, I always respect teachers, wanafanya kazi kubwa mno ila wajinga hulinganisha thamani yao na pesa! UPUMBAVU tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…