A
Nyie kenge Tena mtulie kabisa,si mlikua mnaiba kula na ccm Sasa kaeni kwa kutulia Tena msije lipwa kabisa miku.du nyieSisi Waalimu wa Halmashauri ya Mkinga -Tanga, Tumekua Tukiahidiwa Pesa ya Kujikimu kuwa tutapewa lakini mpka Sasa pesa hiyo imekua ni danadana, Halmashauri wamekua na maneno Matamu ya KESHO , KESHO na ukizingatia Tunafanya kazi katika mazingira magumu Sana, Awali tuliambiwa Tusaini fomu , fomu tushasaini lakini mpka Leo ni Hamna , mbaya zaidi Halmashauri zingine washapewa Pesa hizo