Nimeanza kuamini msemo wa rafiki yangu kuwa mtu anayesomea Ualimu anatakiwa awe na wito kweli. Leo asubuhi nafungua TV nakutana na habari eti walimu Kagera wanaomba serikali iwapeleke JKT walimu wote ambao hawakupitia huko kisa eti utendaji wao wakazi si mzuri.
Kwanza nilicheka, Watu badala ya kudai nyongeza ya mshahara, watu wanapewa mshahara wako kama posho, we unaona serikali ikupeleke JKT, kwa mtaji huu hata serikali ikiwalipa laki mbili mtafanya kazi.