Walimu Kagera waomba kupelekwa JKT

Walimu Kagera waomba kupelekwa JKT

karema

Member
Joined
Oct 3, 2013
Posts
95
Reaction score
7
Nimeanza kuamini msemo wa rafiki yangu kuwa mtu anayesomea Ualimu anatakiwa awe na wito kweli. Leo asubuhi nafungua TV nakutana na habari eti walimu Kagera wanaomba serikali iwapeleke JKT walimu wote ambao hawakupitia huko kisa eti utendaji wao wakazi si mzuri.

Kwanza nilicheka, Watu badala ya kudai nyongeza ya mshahara, watu wanapewa mshahara wako kama posho, we unaona serikali ikupeleke JKT, kwa mtaji huu hata serikali ikiwalipa laki mbili mtafanya kazi.
 
nimeanza kuamini msemo wa rafiki yangu kuwa mtu anayesomea ualimu ana matatizo ya akili,leo asubuhi nafungua tv nakutana na habari heti walimu kagera wanaomba serkali iwapeleke jkt walimu wote ambao hawakupitia huko kisa heti utendaji wao wakazi si mzuri,kwanza nilicheka,mijitu badala ya kudai nyongeza ya mshahara,watu wanapewa msharhara wako kama posho,we unaona serkali ikupeleke jkt,kwa mtaji huu hata serikali ikiwalipa laki mbili mtafanya kazi.

Poor argument

Poor you..
 
Mjinga ni wewe usiyejua hata kuandika....unaandika heti badala ya Eti rudi shule ukafundishwe na hao unaowaita wajinga...bila wao ungejua kusoma?

Hujitambui wewe
 
Lakini mnalionaje hilo la walimu kuomba serikali iwapeleke jkt?

Kuna uhusiano wowote wa moja kwa moja wa kwenda jkt na ufanisi kazini?
 
Haaaa...ww ndo umepotea njia kwel tena ukatubu kwa muumba wako kwan hao unaowaita wajinga ndio waliokuondolea huo ujinga
 
Unaidhalilisha taaluma yangu mkuu, eti walimu wajinga, bila hao walimu wewe ungeweza kuandika hicho ulichoandika?

Inasikitisha sana kuona watanzania wengi mnadharau walimu, na kushindwa kuthamin kaz yao.

Kwan mtu kutaka kwenda JKT kujifunza uzalendo ni ujinga???

Kwa hiyo from your point of view waisrael walotuletea idea ya national service nao ni wajinga?

Lastly, hebu angalia ulivyoandika halafu jiulize wewe na sisi walimu unaotuita wajinga, nani mjinga????
 
Uhusiano upo,
Kuna kitu kinaitwa Integration of Education with Work(Elimu na Kazi).
JKT wanafundisha Uzalendo,Kazi na Nidhamu..hivyo kama walimu wataenda JKT wataweza kuwa wakakamavu,wazalendo,wajasiriamali na wenye nidhamu katika kazi yao.

Lakini pia wanafunzi wao watawandaa katika misingi hiyo hiyo
mwisho wa siku tutakuwa na taifa lenye watu wanaojituma,wasiotegemea kuajiriwa,wajasiriamali n.k

Mwalimu aliyetoa mawazo hayo yupo sahihi tu,ana mawazo chanya japo utekelezaji wake ni mgumu.

Pia mtoa mada umekurupuka hakuna mwalimu anayelipwa laki tatu kwa sasa hata hao wa Shule za msingi ni zaidi ya hiyo.

Nakushauri ufanye utafiti kabla ya kuleta mada hapa..humu kuna watu wenye elimu na uwezo tofauti wa kufikiri.

Think Critically
The future Is Dark
The Only Bright Mind Will Survive
 
Lakini mnalionaje hilo la walimu kuomba serikali iwapeleke jkt?

Kuna uhusiano wowote wa moja kwa moja wa kwenda jkt na ufanisi kazini?

tatizo tunaangalia argument yake haina mashiko huwezi linganisha mikoa yote ya tanzania kwavile tu wamesema walim wa mkoa mmoja. Kimsing hata kama iweje hawawezi walim wote wa kagera wakawa na mawazo potofu kama hayo.
 
nimeanza kuamini msemo wa rafiki yangu kuwa mtu anayesomea ualimu ana matatizo ya akili,leo asubuhi nafungua tv nakutana na habari heti walimu kagera wanaomba serkali iwapeleke jkt walimu wote ambao hawakupitia huko kisa heti utendaji wao wakazi si mzuri,kwanza nilicheka,mijitu badala ya kudai nyongeza ya mshahara,watu wanapewa msharhara wako kama posho,we unaona serkali ikupeleke jkt,kwa mtaji huu hata serikali ikiwalipa laki mbili mtafanya kazi.

Walimu wa tz wametengenezwa na serikali kuwa misukule a.k.a hawajitambui kabisaaaa
 
nimeanza kuamini msemo wa rafiki yangu kuwa mtu anayesomea ualimu ana matatizo ya akili,leo asubuhi nafungua tv nakutana na habari heti walimu kagera wanaomba serkali iwapeleke jkt walimu wote ambao hawakupitia huko kisa heti utendaji wao wakazi si mzuri,kwanza nilicheka,mijitu badala ya kudai nyongeza ya mshahara,watu wanapewa msharhara wako kama posho,we unaona serkali ikupeleke jkt,kwa mtaji huu hata serikali ikiwalipa laki mbili mtafanya kazi.

Ungejua kasoro inayolisumbua Taifa na kelele kuhusu matatizo yasiyo na dawa yanayolikabili Taifa ungempongeza Mwalimu huyu. Zaidi ya robo tatu ya waliokuwa wanateuluwa na Mwalimu Nyerere katika utawala walikuwa walimu. Anzia hapo kudadisi sifa kuu wanayopandikiziwa wote wanaofundisha wanafunzi ni ipi ndiyo utaelewa siri ya Mwalimu Nyerere. Nchi isiyo na nidhamu kuanzia Rais haiwezi kuwa na nidhamu kwa Mkuu wa Mkoa kwenda chini. Mwalimu unayempinga hakubahatika kuwa na mawazo haya katika nchi yenye uongozi wenye nidhamu. Wewe unayempinga hujui hili.
 
SIO MISHAHAWA ni mishahara
 
kama rwanda
 
ualimu ujinga kwa lipi au kwa sababu gani sheria ya mawasiliano ije wewe unafaa ufungwe kwa kutukana kazi ya watu hivi bila mwalimu
ungeitambua dunia na kukusaidia kuelewa unaposema ualimu ujinga huna hata ndugu zako wanaofanya kazi huko sekta ya elimu kusema ujinga ni kuwatukana wazazi wako itakuwa wewe umelaaniwa
 
mama yangu mtoto wa div 4 ya 48 huyo anachojua ni hicho alichoandika
waa,imu tunakazi ngumu sana hapa kubadilisha hichi kizazi
 
yaan katka watu ambao nimewah kusikia wanaongea utumbo ni wewe..

nahc umetoloka mhimbili ww

najua nyote mlochangia hapa ni walimu,nimejaribu kupresent ambacho nimekisikia,lakini lets be linient unaomba kwenda jkt heti uzalendo huo uzalendo unakusaidia nini wakayi unalipwa laki mbili na kitu kwa mwezi?hembu tuache jaziba tufikilie kwa umakini,wengine wanadai heti sijaenda shule,kisa nimekosea typing inashangaza sana,nani asiye jua typing error za kwenye simu?tena bora mi natumia tablet.
 
nimeanza kuamini msemo wa rafiki yangu kuwa mtu anayesomea ualimu ana matatizo ya akili,leo asubuhi nafungua tv nakutana na habari heti walimu kagera wanaomba serkali iwapeleke jkt walimu wote ambao hawakupitia huko kisa heti utendaji wao wakazi si mzuri,kwanza nilicheka,mijitu badala ya kudai nyongeza ya mshahara,watu wanapewa msharhara wako kama posho,we unaona serkali ikupeleke jkt,kwa mtaji huu hata serikali ikiwalipa laki mbili mtafanya kazi.
Kumtukana mwalimu ni sawa na kumtukana mzazi wako. Kuwa adabu kijana
 
Vijana wa kizazi cha facebook ni hatari. Sasa ujinga huko wapi hapo? Yani kukufundisha kusoma, kuandika, kukupa taaluma uliyonayo, maadili mema (japo umeyakataa), na ustaarabu wote tangia primary school hadi hapo ulipo; leo wamekuwa wajinga? Kwa nini usitoe mawazo namna ya kuboresha maslahi na taaluma zao.
 
Back
Top Bottom