Eng. Smasher
JF-Expert Member
- Nov 13, 2010
- 745
- 23
Kuna ticha mmoja wa English alikuwa anafundisha class viunganishi,i.e IN,UNDER,and ON.
Akawa anafundisha kwa vitendo si unajua sahivi lazima uwe na CHEATING AIDS!!!
Akawa kapanda JUU ya meza.
TICHA: I am ON the table
CLASS: Your ON the table
Akawa kaingia chini ya uvungu wa meza
TICHA: I am UNDER the table, CLASS am UNDER WHERE???
CLASS: YOUR UNDERWEAR!!!!