Walimu Kazi Wanayo huko Mashuleni!!!!

Walimu Kazi Wanayo huko Mashuleni!!!!

Eng. Smasher

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2010
Posts
745
Reaction score
23
Kuna ticha mmoja wa English alikuwa anafundisha class viunganishi,i.e IN,UNDER,and ON.
Akawa anafundisha kwa vitendo si unajua sahivi lazima uwe na CHEATING AIDS!!!

Akawa kapanda JUU ya meza.
TICHA: I am ON the table
CLASS: Your ON the table

Akawa kaingia chini ya uvungu wa meza
TICHA: I am UNDER the table, CLASS am UNDER WHERE???
CLASS: YOUR UNDERWEAR!!!!
 
🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
 
kama wanaelewa angalau neno moja haina tatizo! Maticha waendelee kuwachagiza tu
 
Kuna ticha mmoja wa English alikuwa anafundisha class viunganishi,i.e IN,UNDER,and ON.
Akawa anafundisha kwa vitendo si unajua sahivi lazima uwe na CHEATING AIDS!!![/FONT]

Akawa kapanda JUU ya meza.
TICHA: I am ON the table
CLASS: Your ON the table

Akawa kaingia chini ya uvungu wa meza
TICHA: I am UNDER the table, CLASS am UNDER WHERE???
CLASS: YOUR UNDERWEAR!!!!


Safi sana lakini hiyo red text ni sawa au Teaching Aids
 
Back
Top Bottom