Walimu: Kuna Readings za Namna Hii Kwenye Vifaa Mnavyofundishia?

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
38,657
Reaction score
44,759
Zoezi linajieleza:
Nimeshitushwa na numbering kwenye thermometer ya swali walilopewa watoto wa jirani yangu kama homework
Screenshot_20230116_170420_Gallery.jpg
 
Hapana.

Ingawa haimzuii mtoto kujibu swali.
Lakini kwa mwanafunzi anayeona themometa kwa mara ya kwanza ukizingatia Tanzania tunasoma kwa picha si ataelewa kuwa numbering yake ni ya hivyo?
 
Nina vitabu zaidi ya kumi sijaona thermometer ya hivi, hii sijui mwalimu kaitoa wapi?
 
Nimeshangaa ndiyo maana nikaileta hapa kwa mjadala
 
Back
Top Bottom