Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Jan 16, 2023 #1 Zoezi linajieleza: Nimeshitushwa na numbering kwenye thermometer ya swali walilopewa watoto wa jirani yangu kama homework
Zoezi linajieleza: Nimeshitushwa na numbering kwenye thermometer ya swali walilopewa watoto wa jirani yangu kama homework
Jick JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 1,327 Reaction score 2,041 Jan 16, 2023 #2 Faana said: Zoezi linajieleza: Nimeshitushwa na numbering kwenye thermometer ya swali walilopewa watoto wa jirani yangu kama homeworkView attachment 2483588 Click to expand... Hapana. Ingawa haimzuii mtoto kujibu swali.
Faana said: Zoezi linajieleza: Nimeshitushwa na numbering kwenye thermometer ya swali walilopewa watoto wa jirani yangu kama homeworkView attachment 2483588 Click to expand... Hapana. Ingawa haimzuii mtoto kujibu swali.
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Jan 16, 2023 Thread starter #3 Jick said: Hapana. Ingawa haimzuii mtoto kujibu swali. Click to expand... Asante
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Jan 16, 2023 Thread starter #4 Jick said: Hapana. Ingawa haimzuii mtoto kujibu swali. Click to expand... Lakini kwa mwanafunzi anayeona themometa kwa mara ya kwanza ukizingatia Tanzania tunasoma kwa picha si ataelewa kuwa numbering yake ni ya hivyo?
Jick said: Hapana. Ingawa haimzuii mtoto kujibu swali. Click to expand... Lakini kwa mwanafunzi anayeona themometa kwa mara ya kwanza ukizingatia Tanzania tunasoma kwa picha si ataelewa kuwa numbering yake ni ya hivyo?
Jick JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 1,327 Reaction score 2,041 Jan 16, 2023 #5 Faana said: Lakini kwa mwanafunzi anayeona themometa kwa mara ya kwanza ukizingatia Tanzania tunasoma kwa picha si ataelewa kuwa numbering yake ni ya hivyo? Click to expand... Nina vitabu zaidi ya kumi sijaona thermometer ya hivi, hii sijui mwalimu kaitoa wapi?
Faana said: Lakini kwa mwanafunzi anayeona themometa kwa mara ya kwanza ukizingatia Tanzania tunasoma kwa picha si ataelewa kuwa numbering yake ni ya hivyo? Click to expand... Nina vitabu zaidi ya kumi sijaona thermometer ya hivi, hii sijui mwalimu kaitoa wapi?
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Jan 16, 2023 Thread starter #6 Jick said: Nina vitabu zaidi ya kumi sijaona thermometer ya hivi, hii sijui mwalimu kaitoa wapi? Click to expand... Nimeshangaa ndiyo maana nikaileta hapa kwa mjadala
Jick said: Nina vitabu zaidi ya kumi sijaona thermometer ya hivi, hii sijui mwalimu kaitoa wapi? Click to expand... Nimeshangaa ndiyo maana nikaileta hapa kwa mjadala