Waraka au barua yenye maelekezo?Acha kupinga,waraka ninao umesema walimu husika wapandishe,swala la kupanda madaraja liko kisheria halihusiani na bajeti,hujui kuwa mwezi wa tano watu walipanda madaraja,waweza niambia ni bajeti gani ilitumika kuwapandisha watu hao.
Hakika mama anaupiga mwingi,kura za watumishi wote hasa walimu lazima azibebe zote.jpm kabana sana watu,mama ni mwingi wa huruma,Mungu amjalie heri na baraka tele
Wanapewaga au ndo yale madeni yasiyoisha??Yes, daraja huja na mishara yake.
Ooh kumbe... Sasa si mngesema Uzi ni kwa ajili ya walimu pekee yao!Mkuu Wewe sio mtumishi ,haya hayakuhusu,kukaa kimya nako ni busara,,swali gani hili
Umeongea vyema. Kuna nyakati ambazo watu hushuhudia uvunjifu wa sheria na hata katiba toka kwa viongozi na hakuna mtu wa kufanya kitu. Mfano kwa miaka kadhaa watumishi hawakuongezewa hata 100 ktk mishahara yao kinyume na sheria ya kazi iliyoweka increment kwenye mishahara, lakin hakuna mtu wa kupaza sauti kutetea wafanyakazi. Mfano tuliona watu wakipandishwa mishahara (madaraja Feb, 2016) lakini baadae wakapokwa pasipo hatia na wakaja kurejeshewa madaraja hayo Mwishoni mwa 2017 (wakiachwa nyuma na wenzao). Eti sababu iliyoelezwa ni uhakiki wa vyeti. Ila baada ya kuwapoka, hawakulipwa hata hizo arreas za kipindi walichosimamishiwa mishahara. Lakini hata Chama cha Walimu ambacho kinakata 2% ya Basic Salary ya Mwalimu @ mwezi wakikaa kimnya kabisa. Wao waliendelea tu kukata mshahara wa mwalimu ili wampe T-shirt siku ya mei mosi.Tatizo sio umaskini na upuuzi wa walimu Bali ni dola iliamua KULINDA wanasiasa wanaovunja sheria na kukanyaga katiba !
Hivyo mwalimu hawezi tafuta Bunduki apambane na dola Ili kumpindua kiongozi anaesigina haki zao,Bali ni dola ndio inajukumu la kuchukua hatua pale haki za watu zinapovunjwa kwa kumtoa kiongozi madarakani kivyovyote vile!
Tuna dola inayochekelea WANASIASA wanaovunja sheria na haki za watu,hatujui ni kwanini labda kama Kuna maslahi wanapata toka kwa viongozi hao waovu!!!
Mwalimu asilaumiwe Kazi yake ni kutoa ujinga kwa vijana na anafanya vyema tangu uhuru!!
Ooh kumbe... Sasa si mngesema Uzi ni kwa ajili ya walimu pekee yao!
NB: Swali langu lililenga kujua kama hayo madaraja yana tija na kama hizo pesa hazitengenezi madai/madeni!
Nisamee digba sowey mtumishi
mlimfanya nini JIWE alipogoma kuwapandisha madaraja?
Bora upande daraja maana waliwasahau sana2013 wasitusahau
Sidhani kama mwaka wetu tutakumbukwa....wanaanzia 2014
Usihofu ipo siku na wewe utafikiwaSidhani kama mwaka wetu tutakumbukwa....wanaanzia 2014
Nilishafikiwa ila hii ni kamserereko mkuu
Haikuwa bahati yako.Nilishafikiwa ila hii ni kamserereko mkuu
Kumbe wewe ni mwalimuš¤£2013 wasitusahau
Inasikitisha sanaKumbe wewe ni mwalimuš¤£
Una kichwa kigumu,hao waliopanda ni mwaka wa fedha ambao haujaisha.Acha kupinga,waraka ninao umesema walimu husika wapandishe,swala la kupanda madaraja liko kisheria halihusiani na bajeti,hujui kuwa mwezi wa tano watu walipanda madaraja,waweza niambia ni bajeti gani ilitumika kuwapandisha watu hao.
Hakika mama anaupiga mwingi,kura za watumishi wote hasa walimu lazima azibebe zote.jpm kabana sana watu,mama ni mwingi wa huruma,Mungu amjalie heri na baraka tele
Wewe ndo huelewi... waliopanda ni mwaka wa fedha uliopita yaani 2022/23 kabla ya July 1. Hawa wa sasa ni mwaka mpya wa fedha kuanzia July 2023/24Una kichwa kigumu,hao waliopanda ni mwaka wa fedha ambao haujaisha.