digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Una kichwa kigumu,hao waliopanda ni mwaka wa fedha ambao haujaisha.
Kumbe wewe ni madam2013 wasitusahau
TabularasaUsidanganywe na mtu!!
Kwa Bajeti gani mkuu!!?iliyopitishwa na Bungee lipi!!?
Kama we ni mwalimu jikite kwenye vitega uchumi vyako usije ukawa disapointed kama ile asilimia 23 ya mchongo ile!!
Yeah,Kumbe wewe ni madam
Hata mimi mwalimuInasikitisha sana
Mkuu tunakuheshimu sana hapa jf,tunajua umekulia nyumba za vigae ila usituite madogo Tena! Ni ushauri tu!Sio rahisi watu kula mselekeko. Ikitokea hiyo alhamisi Kila sekunde utatokea Uzi wa kumpongeza mama. Madogo wengi wanaJF walianza 2013-2016
Hii ni kwa watumishi wote. Wametoa kitu kinaitwa kundi rika. Hapa mnufaika zaidi ni ajira 2015.Kuna tetesi kuwa serikali iko mbioni kuwapandisha madaraja walimu walioajiriwa miaka ya 2014 na 2015 ambao walikutana na mkono wa chuma wa JPM.
Kama ni kweli, naona kabisa ni maandalizi ya kuelekea uchaguzi 2025.
Huo mserereko unaanza liniHii ni kwa watumishi wote. Wametoa kitu kinaitwa kundi rika. Hapa mnufaika zaidi ni ajira 2015.
Usipo iweka akilini ualimu utatekelezaje majukumu yako kwa ufanisi?Ili uishi kwa amani km ww ni mwalimu hakikisha kazi ya ualimu usiiweke kabisa akilini
Hii ni kwa watumishi wote. Wametoa kitu kinaitwa kundi rika. Hapa mnufaika zaidi ni ajira 2015.
Hivi huyo Mpwayungu Village ni mume wenu? Mbona mnapenda kumuita ita kwenye nyuzi zinazowahusu Walimu?Mpwayungu Village naona hoja zako zinafanyiwa kazi huku...
Yetu machoKuna tetesi kuwa serikali iko mbioni kuwapandisha madaraja walimu walioajiriwa miaka ya 2014 na 2015 ambao walikutana na mkono wa chuma wa JPM.
Kama ni kweli, naona kabisa ni maandalizi ya kuelekea uchaguzi 2025.
Na wewe ni mjinga mana ulifundishwa na wajingaWalimu wengi ni wajinga sn wanaishi kwa matumaini muda wote