Tetesi: Walimu kupandishwa madaraja mwisho wa mwezi huu

Vipi kuna mabadiliko kwenye salary?
 
Huo waraka uko wapi?
 
Sisi walimu tuna hali ngumu,madaraja mseleleko ndio tumaini letu
 
Kuna tetesi kuwa serikali iko mbioni kuwapandisha madaraja walimu walioajiriwa miaka ya 2014 na 2015 ambao walikutana na mkono wa chuma wa JPM.

Kama ni kweli, naona kabisa ni maandalizi ya kuelekea uchaguzi 2025.
Watumishi kupandishwa kwanini walimu hutajwa Sana au kwasababu ni wengi sana mpaka wanajaza uwanja wa mei mosi?
 
Watumishi waliojiwekezea miradi wanakula bata hongera zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…