JamiiForums

JF Official Account
Joined
Nov 9, 2006
Posts
6,229
Reaction score
5,285
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums

 
Mimi mwlm wa shule ya sekondari Kayenzi iliyoko Manispaa ya Morogoro natafuta mwl wa kubadilishana nae yeye aje Manispaa ya Morogoro mimi niende Manispaa ya Temeke mkoani Dar.

Nina miaka saba kazin nina TSD na nimethibitishwa kazini. Mwenye interest tuwasiliane please.
 
Ndg yangu, baki hukohuko Moro Town mji wenye bahari ya Mindu hewa safi kutoka milima ya Uluguru, mambo yetu pale chipkizi, mengine pale nyota4, au ze club uje huku kwenye joto, vumbi, mabomu ya Mbagala hayakuisha alafu unapajua Dondwe nayo ni Temeke nauli kama 5,000 ukija mjini.

Ushauri hamia Kinole, Matombo, ni afadhali ukawa mkulima kiliko kuja huku.
 
Unaweza kufanya kazi Moro na bado ukaenda Dar as much as u like (approx 200 kms). Unless u have a very valid reason ya kuondoka Moro au ya kuwa Dar, ungebaki tu huko.

Ndio maana usishangae wengi wanatamani kubadilishana nawe waje hapo Moro!
Ndugu yangu, natamani sana ningebaki Moro bt nalazimika kuhama ili kuungana na familia coz nimeingia ktk ulimwengu wa wawiliwawili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…