Njoo iringa dc nije pwani wilaya ya mkuranga kisarawe bagamoyo rufiji kibaha morogoro town au morogoro dc au mvomero idara sekondari 0653795210 0718145989
Mimi nipo Geita halmashauri ya Wilaya ya Geita.
Idara Msingi.
NJOO HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA_MKOA WA GEITA, mimi nije Daressalaam wilaya yoyote Ile au Pwani halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo au halmashauri ya Wilaya ya Kibaha au Chalinze.