njoo kakonko kigoma idara sec me nije sehemu yoyote katika mikoa ifuatayo
dodoma
singida
morogoro
tanga
manyara
pwani, dar au geita
mawasiliano 0782468003
TUBADILISHANE. Njo Mtwara-Newala nami nije mkoa wa MBEYA.
wilaya ya; 1. Mbeya mjini
2. Mbeya vijijini
3. Rungwe
4. Mbozi
5. Busokelo
NJOO UISHI mji mdogo 😳MAHUTA😳
Idara ya sekondari.0759410327{voda} au 0672109757{tigo}.