Teachers nahitaji wakubadilishana nae kituo nipo musoma municipal shule ya secondary buhare nije kibaha,bagamoyo,dar wilaya yoyote ile namba yangu 0754248638
Njoo ikwiriri -rufiji pwani dar nauli elfu 5 tu masaa mawili na nusu samaki wa kumwaga njia nzuri lami mwanzo mwisho mpaka unafika dar nije moro manispaa idara msingi 0717372313