Kwani somo ndo linalokuhamisha?? Au ulitka tujue ww ni mwalimu wa biology.....acha ulimbukeni
[emoji119] [emoji119] [emoji112]
alafu kama ww ni limbukeni usinilinganishe namm na zaidi sikuhusu hunihusu kama ww unaona kufundisha somo unalofundisha ndo sifa basi jua ni sifa za kijinga mkuu wng wa kituo kanizuia kuhama kwakua napata watu wa somo tofauti na ninalofundisha msiwe mnakuja na stress kureply yasiyowahusu
 
Njoo Masasi Mtwara mdogo wangu aje Kigoma wilaya yeyote. Idara msingi
 
Njoo muleba kagera nije manyara au singida
Idara msingi
0768310510
0676799531
 
niko usariver arusha ..natafuta mtu wa kubalishana nae mkia pwani… bagamoyo mlandizi na kibaha
 
kilosa,mvomero,kilombero,handeni,korogwe alie tayari aje kilindi tanga nije ulipo idara ya msingi 0713281515
 
Njoo KIGOMA (V) nije dar, kbaha, chalinze, tanga, Moro town.
2. Njoo ROMBO (tarakea) nije mbeya mjn, mbarali, mbeya vjjn, Rungwe, tukuyu, kyela no. 0655302098
 
Njoo mahenge nije Ifakara,morogoro town,babati mjini.idara secondari.tuwasiliane kwa 0629256810
 
njoo mahenge nije babati mjini,morogoro mjini au Ifakara.idara secondary.mawasiliano 0629256810
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…