chichimizi
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,074
- 339
Acha kuringa wewe mkuu wa kituo hawezi zuia ww kuhama kwan yy ndo alikupanga hapo??yey kazi yake ni kupokea walimu na kuwaongoza tu....alafu kama ww ni limbukeni usinilinganishe namm na zaidi sikuhusu hunihusu kama ww unaona kufundisha somo unalofundisha ndo sifa basi jua ni sifa za kijinga mkuu wng wa kituo kanizuia kuhama kwakua napata watu wa somo tofauti na ninalofundisha msiwe mnakuja na stress kureply yasiyowahusu
Kama we ni wakike ntakupa pesa unayotaka ila kama wa kiume huna cha kunipa so piga kimya.
Bukoba sehemu gani, hauwezi Kuja njombeNjoo bukoba mimi nije dar, pwani moro
Hi kahama sehemu gani Mbezi ndg yangu mi niko njombeNjo kahama nije
Mbeya
Iringa
Njombe
Idara secondary
0752001385Njo kahama nije
Mbeya
Iringa
Njombe
Idara secondary