Njoo Muheza nije mikoa ifuatayo;
1.Tanga jiji
2.Morogoro Mjini(Manispaa)
3.Moshi
Tuwasiliane 0621021302.
Idara Elimu sekondari
 
Uhamisho wa wilayan mf kutoka tanga muheza kwenda jiji ni muda wowote cyo mpk july na december
 
Njoo karagwe , kagera nije IGUNGA, nzega(Tabora) au Singida , tuwasiliane 0716138070
 
Njoo manspaa Dodoma nije mwanza ilemela au nyamagana au dar wilaya yeyote mawasiliano 0752246075
 
Habari wanaJF, nimebadilisha system kutoka kwenye chenjifasta.nahitaji.com na kwenda kwenye chenjifasta.com . Kwa sasa system inapatiana kwenye chenjifasta.com na sio tena chenjifasta.nahitaji.com.

Pia walimu na wauguzi(nurse) wanaweza kubadilishana vituo vya kazi kupitia kwenye mfumo huu wa chenjifasta.com.

Samahani kwa usumbufu utakao jitokeza.

Asanten na karibuni wote..
 
mm nipo tabora idara ya msingi anayetaka kuja huku jaman ulyankulu
 
Njoo manspaa Dodoma nije mwanza ilemela au nyamagana au dar wilaya yeyote mawasiliano 0752246075
Hivi hizi barua zinapitishwa kweli kwenye halmashauri zenu ?? Au mnakutana na majibu gani huko? Maana sina hakika kama kuna barua ya uhamisho itapitishwa kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…