Niko LIWALE LINDI idara ya Sekondari, nataka Kwenda MBEYA, IRINGA au NJ 0MBE, aliye tayari anita fute
Nipo Liwale-Lindi,natafuta MTU wa kubadilishana kituo cha kazi mi nije mikoa ya Iringa,njombe,mbeya,morogoro na mawnza. Kwa aliyetayali tuwasiliane.0752 37 35 63