Njoo Arusha mjni hapa nije Kibaha mji, dar au mkuranga maeneo kuanzia kongowe mpk kisemvule..mawasiliano 0688053521 au 0657504159
 
Mimi MWL.bangu haji lranga toka Same Kilimanjaro natafuta mwalimu yeyote wa sekondari mchepuo wa Arts tubadilishane kituô cha kazi.Awe anatoka mikoa ya mbeya,lringa au morogoro.kwa mawasiliano pigs no:0757525780 au 0719665591.asanteni
 
Mwalimu wa sekondari nipo Lushoto Mjini nahitaji mwalimu wa kubadilishana nae kutoka Dar au Bagamoyo.
Mawasiliano 0755 517 076 au 0717 451 400. Karibuni Lushoto
 
Anayetaka kuja masasi Mtwara mi niende mikoa ya Mbeya Arusha au Kilimanjaro idara ya Elimu msingi tuwasiliane Contact 0657413989
 
NJOO MKALAMA-SINGIDA
NIJE
DODOMA
MOROGORO
PWANI AU
DAR
IDARA YA ELIMU SEKONDARI
MAWASILIANO 0689128658
 
Njoo tarime mji nije babati mji, dodoma manispaa, morogoro manispaa, arusha jiji au moshi manispaa 0766765231
 
Njoo tarime mji nije maeneo yafuatayo, babati mji, dodoma manispaa, morogoro manispaa, arusha jiji, moshi manispaa 0766765231
 
Je wewe ni Mwalimu? na unasumbuka kutafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi? Usiwe na shaka si tatizo tena, ingiawww.hamafasta.com jisajili kisha tafuta Mwalimu mwenzio mbadilishane vituo vya kazi BUREEEE, Ni rahisi kiasi hicho, hamafasta.com

VITU VYA KUZINGATIA

ZINGATIA: Wakati wa kujisajili zingatia usahihi wa majina ya mikoa na wilaya, jaza mkoa mmoja na wilaya moja unayotaka kuhamia, baada ya kujisjili utakua na uwezo wa kuongeza mikoa na wilaya ambazo unahitaji kwenda. Kufanya hili kwa umakini kutakurahisishia kupata mtu wa kubadilishana nae automatically bila ku search.

1)Jisajili (kama bado huja jisajili)

2)Baada ya kujisajili moja kwa moja utapelekwa kwenye account yako, Walimu wote walio jisajili katika system wataanza kuona Tangazo lako,
Vile vile utaanza kuona matangazo ya walimu wengine wanaoendana na mahitaji yako upande wa uhamisho.

3) Unaweza kuongeza mikoa/wilaya ambayo/ambazo ungependa kuhamia kwa kubonyeza "MPANGILIO" juu upande wa kulia katika system.

4)Unaweza kutafuta mwalimu wa kubadilishana kwa kujaza mkoa au/na wilaya unaohitaji/unayohitaji kupitia search box zilizopo upande wa kulia wa system.

5)Jaribu kutembeleawww.hamafasta.com walau mara mbili kwa siku ili kuweza kujihakikishia uwezekano mkubwa wa kupata mtu wa kubadilishana nae kituo, Hii ni kwa sababu Takribani kila baada ya muda mfupi waalimu wanazidi kujiunga na mtandao huu, hivyo basi usikate tamaa ukikosa mtu kwa mara ya kwanza.

6) Mwisho Huduma hii ni BURE KABISA, unaweza kuchangia kwa hiari yako.
 
NJOO MKALAMA - SINGIDA
NIJE
DODOMA
MOROGORO
PWANI AU DAR
IDARA YA ELIMU SEKONDARI
MAWASILIANO 0689128658
 
NJOO MKALAMA - SINGIDA
NIJE
DODOMA
MOROGORO
PWANI AU
DAR
IDARA YA ELIMU SEKONDARI
MAWASILIANO 0689128658
 
Njoo mtwala newala nije dom mor dar iringa manyala idara elimu msingi sm no 0654376276/0653661519
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…