Njoo barabarani kusini nije katika wilaya za Tanga
Idara ya s/m
Nitafute kupitia 0788780887
Au0654697529
 
Mwalimu wa sekondari nipo Lushoto Mjini nahitaji mwalimu wa kubadilishana nae kutoka Dar au Bagamoyo.
Mawasiliano 0755 517 076 au 0717 451 400. Karibuni Lushoto
 
Njoo(Kilindi)Tanga nije Busega,Bariadi,Magu,Misungwi,Kwimba,Bukombe au Chato.Idara Sec.piga na:0683067511/0769325378
 
Mwalimu aje wilaya ya mkuranga nami niende kibaha mjini au vijijini idara sekongari, Kama upo tayal unweza kuni PM
za saa hz kaka! kama text yangu inavyoelezea njoo Moshi nije Mkuranga idara ya sekondari 0658825141
 
Njoo Moshi Kilimanjaro nije Pwani (Mkuranga,Kibaha na Kisarawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…