Wapendwa heri ya krismas! Mi ni mwalimu idara ya sec natafuta Mwal wa kubadilishana nae kituo cha kazi. Aje mkoa wa morogoro wilaya ya malinyi na na mimi niende sehemu yoyote ile katika mkoa wa iringa. No yangu ni 0719221365
Vp hamna wa kilombero or mvomero mi np iringa - kilolo nicheck 0759053837
 
Kwa wale wapendao kufanyia kazi ktk vituo vya barabarani njoo lindi barabarani tu mi nije lushoto korogwe muheza au tanga mjini ni idara s/m ili tuongee nipigie 0654687529/0788780887.
Ungekua sec sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…