Tanga unafundisha shule gani? sec au primary niko Moshi ni wa sec 0621068486Njoo Tanga jiji nije Moshi au Hai
Weka namba kigoma mjini yupo wife nataka nimlete MwanzaIdara gani?kibondo je
Sorry sio Mimi ni wa kusoma Mimi nipo kibondo mqote wakusoma hapo juuWeka namba kigoma mjini yupo wife nataka nimlete Mwanza
Kama kunagroup la kubadilishana vituo vya kaziNikuadd kiaje?
Tufahamishane kama uhamisho upo au haupo!Huu uhamisho upo kweli? Kwa mwenye taarifa atujuze
Mkuu nakushauri usitoke chato ,utapata ukuu wa wilaya hukoNiko chato geita mwalimu sekondary language napenda kuhamia mikoa ifuatayo:
Iringa
Mbeya
Morogoro
Mwanza
Rukwa sumbawanga.
Aliyetayari tuwasiane kwa kuni pm tuanze mchakato january
Haiwezekani Mkuu ,hizo ni idara mbili tofauti za elimu na zna maboss tofautiJamani inawezekana mtu wa secondary na msingi kubadilishana vituo naomba mnijibu plz
Mh!Njoo Lindi liwale nije kanda ya ziwa
Njoo Geuta mkuu nije Lushoto
Njoo Mbinga nije mbeya (V)(M) songwe ,ileje, umalila, chunya ,,chimala, idara secondary 0624795534