Ungekua Dar ningekuja mara moja.but tanga noo!!mm nipo mwanza jiji nyamagana idara msingi.
 
Kwa yoyote aliye idara ya afya anayeitaji kwenda halmashauri ya mji Nzega mkoa wa Tabora kutoka mikoa
Iringa
Njombe
Anaweza ni PM
 
Njoo tanga wilaya ya handeni mimi nije dodoma manispaa, ni check kwa no. 0685479102. Idara sekondari.
 
Mi ni mwalim shule ya msingi iko Ilula wilaya ya kilolo mkoani IRINGA.Natafuta mwalim wa kubadilishana nae Iringa mjini.
 
Nyie mnajadili uhamisho wkt umezuiliwa kutoka mwajiri mmoja kwenda mwingine na hujaruhusiwa. Iwasaidie
 
Tangazo Tangazo


Njoo Tanga jiji

Nije

Moro town

Kibaha

Chalinze

Dar


Iringa town


Mbeya jiji may happen

idara sec

Contact 0713142568
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…