umempata mwalimu wa kubadilishana?Habari zenu wana JF
Nina ndugu yangu mwalimu wa primary, yupo Ulanga-Morogoro, anataka kuhamia TANDAHIMBA-MTWARA.....Hivyo anahitaji mwalimu wa kubadilishana naye.
Kwa aliyetayari awasiliane nami kwa barua pepe kajuna81@hotmail.co.uk.
unataka kwenda wapiiSwanga unataka kubadilishana na mtu wa wapi?
Tanga jijiMimi ni mwalimu idara ya sekondari nipo Iringa manispaa, nataka nibadilishane na mwalimu wa dodoma manispaa. Kwa ambae yuko tayari tuwasiliane inbox. Ahsanteni
Nashukuru aisee.. ila nataka kwenda dodoma kwa sababu kuna familia yanguNjoo
Tanga jiji
MBEYA sehemu gani?Njoo mbeya mi nije mwanza, geita au kahama.
Za zamani zinabadilishwa?Ndugu mwalimu hakikisha Barua yako ya namba ya utumishi inaonesha ni TSC no na sio TSD tena. Fuatilia
Kuna ambao zinabadilika na wengine, kinachobadilika ni TSC badala ya TSD.Za zamani zinabadilishwa?