Ahahahaaa [emoji23] [emoji23]Hivi wana Kagera hamtaki kurudi kwenu njoo Muleba Kagera nije Songea, Namtumbo Ruvuma. Secondary!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kalambo vip mkuu,njoo huku nije huko!Njoo Iringa, nije RUKWA wilaya ya NKASI.
Idara secondary
Kilimanjaro wilaya gani?me niko karatu mjini hapa kama uko wilaya ya moshi mjini au vijijini please tuwasiliane namba zangu ni 0624019637/0769978377NJOO KILIMANJARO NIJE ARUSHA-secondary
Sent from my D2303 using JamiiForums mobile app
NJOO ROMBO NIJE ARUSHA AO ARUMERUKilimanjaro wilaya gani?me niko karatu mjini hapa kama uko wilaya ya moshi mjini au vijijini please tuwasiliane namba zangu ni 0624019637/0769978377
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko arusha wilayA ya karatuNJOO ROMBO NIJE ARUSHA AO ARUMERU
-mikononyuma-
Oya vipi umepata, sumbawaga manispaa nije iringaNjoo Iringa, nije RUKWA wilaya ya NKASI.
Idara secondary
Bado mkuu, alafu namba yangu nmekutumia PM toka juzi hebu icheki tuunganishe mishe
Poa ngojea nichekiBado mkuu, alafu namba yangu nmekutumia PM toka juzi hebu icheki tuunganishe mishe
khaaaaaa kuna watu mna comment za vituko balaaa hahahhahahNahama kwa ajili ya kuungana na familia yangu ambayo ipo Dar. Thats it!