Zachayo Nghambi
Member
- May 1, 2017
- 16
- 11
Broo mpk instagram upo hahahahaNjoo Njombe Mji aje
1.mkoa wa kilimanjaro
2.Tanga
Idara sec
commred Chichimizi
Watu wanahama ujieleza nashda yako ikawa ya mshiko unahamaHakuna uhamisho unaofanyika nje ya mkoa kwa sasa.Nimeuliza TAMISEMI kwa uhakika.Nasisitiza hakuna...Chanzo Changu ni cha kuaminika.
Mimi ninabarua ya jamaa yangu amehama juzi toka Lindi kwenda geita hapo unasemaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo Tabora - Uyui;
Nije Katavi idara ya Msingi,
+255767-145922
+255786-145922
okNjoo Sengerema-Mwanza ndg, ukiwa Sengerema town ni karibu sana@