georgemugwangala
Senior Member
- May 29, 2016
- 109
- 21
*UVINZA UVINZA UVINZA-KIGOMA*
Mbona mmepasahau?
Karb wew ulie tayar kw ;
Mawasiliano ya
0621-125686
IDARA-Elimu
Msingi.
Kutoka
Pwani
Tanga
Mtwara
Lindi
NAOMBA NAMBA 0621125686 IUNGWE KTK MAKUNDI YA WAALIMU YA KUBADILISHANA VITUO VYA KAZI.
Yeyote Mwenye uwezo kwa hili, naomba anisaidie pls.
Njoo tabora DC mkuu, nije bumbuli...Niko Halmashauri ya Bumbuli natafuta mtu wa kubadilishana naye kituo awe Mkoa na wilaya yoyote ani pm
Group limejaa! Waliofanikiwa watoke nasi tupate nafasi ya kuingia!Walimu fuateni hiyo link ili kupata watu wa kubadilidhana nao Walimu na vituo vipya
Njoo nachingweaOi nimepangiwa wilaya ya rungwe nafasi ya weo nipo tayar kwenda mkoa wowote isipo kuwa iringa, njombe, na ruvuma,, aliye tayari kuja rungwe ani pm ..