hii ni ofa kwa wale walioko mbeya vijijini.

MWL NJOO RUNGWE-TUKUYU KIWIRA NIJE MBEYA JIJI,AU MBEYA VIJIJIN idara sec-0765432283 au 0762815309
 
Mimi Mwl Niko mkoa wa singida Wilaya ya manyoni na pia nikaribu Sana na Dodoma km 40 mpaka Dom natafuta wa kubadilishana uje Manyoni Mimi nije Karatu Arusha, monduli Arusha mbulu manyara Lengo kuwa Karibu na familia Japo huko ndo pananukia makao makuu ya nchi Sina budi mawasiliano 0769251886 au0711830017 Karibu katikat ya Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…