Kwa yoyote aliye tayari tubadilishane kituo cha kazi mimi niende arusha sehemu yoyote yeye aje musoma karibu na mjini anitafute...
Mimi mwalimu Ayubu ...
Namba ya simu : 0620 800084
 
Njoo jiji mbeya manispaa katikati mimi nije dodoma manispaa idara ya elimu sekondari simu 0753477905/0716589410
 
Njoo kyerwa-kagera nije mwanza au geita idara msingi
0653139172
 
Njoo bumbuli tanga,nije moshi manispaa,mosh vjijin,rombo,hai,Arusha
Idara MSingi...
Mawasiliano:..0652586153...0627856583...0764550791
 
Njoo musoma manispaa niko musoma technical sekondary school nije Arusha, babati, dodoma, meru.
 
1. TAMBUA
Kuna app inayoitwa *telegram*, ambayo kuna magroup kama ya whatsapp. Ila magroup ya kule yanao uwezo wa kuingiza members zaidi ya 30,000. Fikiria watu zaidi ya 30,000 muwe ktk grp moja, alafu ww uwe unatafuta wa kubadilishana nae kituo cha kazi. Lazima upate.

2. CHAKUFANYA
(i)Nenda *play store* udownload telegram ktk simu yako, kisha
(ii)jiunge na group la walimu wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi kwa kutumia link hiii
[emoji116][emoji116][emoji116]
WALIMU KUBADILISHANA VITUO VYA KAZI

3. ANGALIZO.
Usiclick link kama bado hujadowload telegram app, kwan hutaweza kujiunga ktk grp kwasababu kutakua na telegram app.

4. Kwa sasa lina member zaidi ya 900

5. Tahadhari uruhusiwi kupost kitu cha tofauti uhamisho au tofauti na majukumu ya watu husika

6. Sambaza upendo kwa wengine wenye uhitaji wa kuhama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…