Ulisha pata?. Njoo moro jiji. Nije mwz jijiNjoo Mwanza Jiji, Mimi nije Morogoro Ifakala
Moro manispaa , nije mwz jijiNjoo Mwanza Jiji, Mimi nije Morogoro Ifakala
songwe wilaya gani na idara ipi msingi au secKama kuna mwl aliyepo iringa anataka kwenda songwe anichek inbox
Nimpe namba ya huyo mwl anayetaka kubadilishana
Mi mwl wa kondoa mji idara ya sekondari natafuta mwalimu wa kubadilishana nae ye aje kondoa mji mi nije moshi manispaa, rombo, Hai. Asante
Korogwe lini ilikua Manispaa??Njoo Lushoto Tanga nije korogwe manispaa au Moshi manispaa 0713015570