plz anaetaka kuja mbeya jiji mwenzie aende arusha jiji tuwasiliane
 
Nipo manispaa ya songea , katikati kabisa ya mji,
Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi , idara ya elimu sekondari kutoka halmashauri zifuatazo
Rungwe
Halmshauri wilaya ya mbeya
mbeya jiji
mji makambako

Kama uko interested basi nitafute kwa pm then tuanze mawasiliano namna ya kulifanikisha suala hili haraka iwezekanavyo.

Ni songea manispaa sio songea vijijini
 
Kuna mwalimu msingi Tanga, angependa kwenda mikoa ya Morogoro, Pwani.
 
Njoo singida DC nije mafinga, makambako, rungwe, bosokelo, mbeya Dc, mbeya jiji, chunya nk
Idara sekondari,
0758 014803/0714137598/0625947237
 
Niko sengerema natakubadili na wamkoa wa Morogoro au kilimanjaro wilaya ya mwanga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…