Tuma namba yako kuna jamaa angu yupo rungwe nimpe namba yako muwasiliane au ntafte mm tuongee nkuunganishe naye 0719678528
 
Nataka mwalimu wa kubadilishana nae aje Dar. Ilala municipal kutoka Moshi municipal Kilimanjaro idara ya sekondari masomo ya Biology na Chemistry
 
Mimi ni mwl Noah Laurent nafundisha halmashauli ya jiji la Mbeya idara msingi natafta mtu wa kubadilishana nae mimi niende moro manispaaa yeye aje mbeya jiji.
 
Heshima kwenu wakuu, ninauza ramani za nyumba uaan floorplans zilizochorwa kwa autocad zipo kuanzia room2 hadi nne. Unalipa elf 70 tu na ramani nitakutumia ikiwa na jina lako kabisa. Hii nimeamua kutoa offer kwa watu wanaohitaji kujenga na inawapa shida kupata ramani. Kama una hitaji hilo basi wasiliana nami kwa namba 0782183441. Unachotakiwa kunipa ni urefu na upana wa eneo lako nami nitakupatia ramani itakayotosha nyumba yako. Karibuni sana wadau. Ramani zote zimechorwa kitaalam.
 
Sample hii hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…