Paraproffesional
Member
- Mar 15, 2018
- 15
- 5
Njoo tangaIdara sekondari.
Njoo Morogoro - Kilosa nije Pwani - Bagamoyo.
Korogwe lini ilikua Manispaa??
Karibu Lushoto mjini ni jirani na Moshi. Kama uko tayari tuwasiliane 0755 517076Nataka mwalimu wa kubadilishana nae aje Dar. Ilala municipal kutoka Moshi municipal Kilimanjaro idara ya sekondari masomo ya Biology na Chemistry
Nimelenga moshi nina maana yangu mkuu pale nina kakibanda kangu ka urithi mkuu
Karibu Lushoto mjini ni jirani na Moshi. Kama uko tayari tuwasiliane 0755 517076
elimu secondariIdara gani
Iringa mjini ama?
Jamani natamani kuja iringa? Nipo Kilimanjaro unasemajeNjoo Iringa Manispaa nije Dodoma manispaa idara ya sekondari.
Njoo Njombe Mji karibu na iringa nije hukoJamani natamani kuja iringa? Nipo Kilimanjaro unasemaje
Njooo 0759007829Nipo Kilimanjaro idara ya secondary natafuta Mwl wa kubadilishana naye Kituo cha kazi idara ya secondary au aliyekuwa secondary akashushwa msingi anayetokea iringa aje Kilimanjaro.
Tuwasiliane: 0783327999
0712253473