Walimu wa wili (2) mmoja msingi mwingine sec kutoka Njombe Mji wanahitaji kuhamia maeneo yafuatayo.
1.Dar
2.pwani
3.morogoro mjini
4.Dodoma mjini
 
Kuna MTU na mke wake wanatafuta watu wawili waende Lindi na wao waende tanga cm 0654687529 idara msingi
 
Nipo bumbuli idara ya elimu sekondari. Natafuta mwalim aliye dar es salaam kubadilishana naye. Yeye aje bumbuli.

Ahsante!
 
Mimi ni mwl. wa sekondary nipo missenyi kagera natafuta wa kubadilishana naye aje missenyi nami niende sumbawanga manispaa,mbeya mjini,mbozi,songwe,nkasi na kalambo.yeyote aliye tayari anicheki in box,nina tsd no. na barua ya kuthibitishwa kazini na zaidi y'a 5yrs kazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…